

Unaweza Ukavaa Na Stoking Nyepesi Kipindi Cha Joto. Na Wakati Wa Baridi Ukavalia Stoking Nzito Ingawa Wapo Wapenzi Wa Nguo Fupi Huweza Pia Kuvaa Hivyo Hivyo.
Mshono Huu Unaweza Kuvaliwa Kanisani Hata Ofisini. Pisi Moja Na Nusu Ya Kitenge Inakutosha.